Creative Tales
Rongai Chronicles (Part One)

Rongai Chronicles (Part One)

(Pppssssss….take note, events in this article are not based on a true event but rather imaginative perspective.)

Ni Friday niko pale Bayleys Rongai then in the day. Mchana nilikua nimeambia fala ingine anirushie ujanja ya Friday vile kulikwa kumekauka na hakukuwa na any, anipee squad moja ya tao na kurudi angalau form iingiane.

Pesa imeingia nimesahau mambo ya shopping ya kejani halafu Kiu ya pombe na **** imenifuata mbio.
Nikakumbuka kamdem fulani ka daro huko kwa akina Ortiz but ikawaka lazima nikaspoil na tu kingfisher kadhaa ndio ni marinate yeye sasawa.

Saa mbili hivi nime register. Chupa zimekam hakuna pesa ya kutosha ya kukula nyama but nimeitishia dem smokie mbili na mayai tatu hivi… Karau fulani nilipata kwa njia katika harakati zangu za kufanya kama tout kametokea hivi nimekua gentleman nimemrushia Kane Extra quarter akairusha kwa jug ya keg!

Sherehe ilindelea hadi late night karau alianza kuiva na kumisbehave kushika shika Nyar Kano mapaja kunidharau. Tukahamia tukaenda counter. Akatufuata uko bado kutusumbua sumbua. Me nikambia hao ma waiter wamtoe karibu na sisi ama tusilipe bill tujitoe… ati ooh uyu ni mkubwa…. ooh hatuwezi…. ooh hamtoki….

Nikambia uyo karao ntamgonga ajikunie na sitatambua yeye ni nani! >>>Makosa! Akadai shuka Uniguze umbwa hii! Ghasia nainunulia pombe inanikoseshea heshima?? Hajui Mimi na vita ni kama hagga mbili?

Niliruka kutoka juu ya sina taabu stool kama nimeland na timberland juu ya tumbo ya msee. Teke ilifuata ya mbavu kila msee ni mguu niponye! Wengine nikushika mimi na maulevi zangu.

Niliamka around 3AM kama macho moja imefungana shati iko stained na damu everywhere ndio pillow. Na hivo ndivo nilikaribishwa Nairobi na mbogi yake. Sikutembea io wiki juu sikuwa na miguu.

4 thoughts on “Rongai Chronicles (Part One)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

%d bloggers like this: